![]() |
AKA(South Africa) and Diamond Platnumz(Tanzania) |

Mdundo huu mpya unadrop Ijumaa ya February 12 2016 ambapo toka February 9 Diamond Platnumz aliwaambia mashabiki zake wakae tayari kwa single mpya kama inavyosomeka Tweet yake hapa chini.

Vilevile Diamond anatarajia kwenda Marekani soon kwa ajili ya kufanya kazi na Producer Swizz Beatz, Alicia Keys na kufanya video ya kolabo yake na mwimbaji wa Marekani Neyo ambaye walisharekodi tayari audio, tazama hii Interview na millardayo hapa chini akiongelea hiyo na ishu nyingine.
Cc Millardayo
No comments:
Post a Comment